As usual ni utani tu babe. Nothing serious. Na utani ukizidi tunakanyana, yanakwisha na tunasonga mbele. Principle hii rahisi ndiyo inaifanya Makapuku iendelee kustawi. Kwingine kule ukiwa na bifu na mtu ni bifu kweli kweli japo hata hamjuani. Samahani kama nimekukwaza shemu. Sometimes I can be too much...
Aunt yangu Shunie uongo dhambi ananipenda sema tu wewe ndo unanichonganisha naye, na bora anasikiaga tu habari za Cheusi, siku wahamiaji haramu wakimletea habari zako za yule teller wa pale kotaz si atanisingizia mimi?