Hawajajua kabisa hilo shukuru, yaani mimi ndo naonekana zaidi kwa kuwa nimeshika mapembe , kumbe wewe umetulia unakamua tu tena kiulaini kabisa. Hii dunia haiko sawa kabisa wallah
1919 - John Alcock na Arthur Brown wanakamilisha safari yao ya kwanza ya kuruka na ndege bila kutua kusimama katika bahari ya Atlantic na kutua Ireland.
Yeah, kanitumia meseji! Umefanya vizuri hebu fikiria wale wahamiaji haramu wangekuona umeleta nyama kwa mamaaa si wangeweka matangazo hadi kwenye gazeti la Annur
Hawajajua kabisa hilo shukuru, yaani mimi ndo naonekana zaidi kwa kuwa nimeshika mapembe , kumbe wewe umetulia unakamua tu tena kiulaini kabisa. Hii dunia haiko sawa kabisa wallah