Nimewahi kusema hapa Eagle ni nembo ya USA km ilivyo Flamingo ni nembo ya Uganda
Lee una maoni gani
Wenzetu ratiba tayari
Pamoja sana mvuviWenzetu ratiba tayari
Hakuna cha panga pangua labda tu baadhi ya mechi kuchezwa J3 mfano ArsayNO wazee wa Europa mechi atacheza J2/J3 pindi akitokea Europa League
.
.
.Shukrani mdau
........
Haya banaaJibu nimekupa linatosha bhana
Kila mtu aamini anachoamini
Mi naangalia utu wa mtu tu sio Imani yake
...........
Daaaa masikini babu seya sizonje angemtoa tu km ni kuteseka kashateseka imetosha sasaMuziki na Kutokelezea
Piga pamba unavyoweza, tokelezea unavyoweza, jipambe upambike na usishau kutumia muda wako kwenye kioo ili kutambua kuwa kila mmoja wetu ni kichaa kwa aina yake.
Sijui kama ninarudia hiki ninachoandika, lakini hata kama ninarudia hakuna ubaya maana maana inaweza kubadilika kutokana na sababu kadha wa kadha ikiwemo siku. Ukiwa katika siku zako basi unaweza kuona rangi zote na kama hauko kwenye siku zako basi usishangae ukijikwaa na kulaumu ulipoangukia.
Salama lakini humu ndani? Nilitingwa kidogo, si unajua tena mambo ya kuitafuta siku uimalize mapema, sasa leo nilikuwa kwenye siku yangu, niliiona yaani tight ile mbaya lakini nimeimaliza na sasa nausubiri mwezi, nipokee mshahara. Kadri unavyoimaliza siku yako ndivyo mshahara unakaribia, haijalishi unalipa au unalipwa.
Turudi kwenye muziki, jana nilikwambia kuwa wanamuziki waanzilishi wa Les Wanyika kina Ngereza na Kinyonga walikimbilia Kenya kutokana na ugumu wa uchumi katika tasnia ya muziki, well, hizi mambo ukiona kwako kugumu mwingine anatamani aje. Wakongo kibao walimiminika Bongo miaka ya 70, 80 na 90 na kuendelea hadi kesho.
Mmoja wao alikuwa ni mpiga gitaa mzuri tu ambaye ukisikiza anavyopiga gitaa na kuimba utampenda sana, sauti na gitaa lake, solo hilo. Anaitwa Nguza Viking.
Unajua yanayoendelea kwake na watoto wake, na hii si mada ya leo. Leo tunawmangalia tu katika muziki na gitaa. Aliwahi kupiga gitaa na nguli wetu wa bongo komandoo Hamza Kalala.
Nguza mbali ya kupiga muziki alikuwa ni mtunzi mzuri na moja ya kibao kilichompatia umaarufu ni Seya na hasa pale alipokiboresha na mwanae Papi kocha
tizama hii clip ya YouTube ufurahie, hadi wakti mwingine tena
Mbali sana wp mpendwa?Ebhwanaeeee, nimeyapenda sana. Ujue wewe mkubwa mwenzangu kabisa maana haya maua yananikumbusha mbali sana.
Asante sana
Morning mkuu ...Lee una maoni gani
maua ya sa 4
Kweli kabisaNimewahi kusema hapa Eagle ni nembo ya USA km ilivyo Flamingo ni nembo ya Uganda
Tanzania tunatumia twiga
.
.
.
Asubuhi njema
........
Pepe kale na idaya wakeNimepoteza kipenzi changu hapa JF
Kama kule MMU sijui
Kama kule MYW sijui
Kama kule intelejensia sijui
Ama kule J photos nitarudi nimtafute............
VP muzeiya?! Mbona kelele?!Weweweeeee
Hamna kitu shemeji yule ni just friend hamna kingineObe inaonekana kaokota embe dodo chini ya mwembe kwa ulaini kama analia au kuna kingine kinachoendelea? Tangu jana nililiona fukuto la chini kwa chini likifukuta na sasa mnunurisho wa fukuto lile umeanza kutoa joto lenye kusisimua fikra. Na shemeji mtu naona nishapigwa chenga ya mwili. Mapenzi hata hivyo ni kikohozi. Ngoja tusubiri!
MmmmmhHamna kitu shemeji yule ni just friend hamna kingine
Lol! hata wewe kweli ni wa kunipiga fitna za namna hii kweli. Haya bhana ngoja niendelee kupata mnunurishoπππ
Ubarikiwe mkuu ShululuAsante kwa neno mama mchungaji