Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,226
- 68,242
tupo kamakawawadau mpo.?
tupo kamakawawadau mpo.?
Yupo mlinzi musolin 5tupo kamakawa
Unataka kuniambia kuwa hapa kwa makapuku hakuna matabaka? Ina maana mimi wa kuja ninathamimiwa sawa na esteemed founder Sir Bitoz na officials wengine?Karibu mkuu huku peace sana na endelea kuangaza angaza macho unaweza kupata ile kitu roho yako inapendaga.
Hakuna ligi wala tabakaUnataka kuniambia kuwa hapa kwa makapuku hakuna matabaka? Ina maana mimi wa kuja ninathamimiwa sawa na esteemed founder Sir Bitoz na officials wengine?
Ile kitu roho inapenda ukiwa mgeni hivi ni ngumu. Waweza paramia kapuku wa mtu halafu ikawa shida. Ila ingependeza sana japo kwa sasa niko mbali na Bongo kwa muda kama wa miezi mitatu hivi. Nafurahi tu jinsi nilivyopokelewa. Kule kwa wenyewe huwa ni nadra sana kwangu kupata likes...
hahaha nipo lindo huku naperuzi kapuku forumYupo mlinzi musolin 5
Hapa ni Peace and LoveUnataka kuniambia kuwa hapa kwa makapuku hakuna matabaka? Ina maana mimi wa kuja ninathamimiwa sawa na esteemed founder Sir Bitoz na officials wengine?
Ile kitu roho inapenda ukiwa mgeni hivi ni ngumu. Waweza paramia kapuku wa mtu halafu ikawa shida. Ila ingependeza sana japo kwa sasa niko mbali na Bongo kwa muda kama wa miezi mitatu hivi. Nafurahi tu jinsi nilivyopokelewa. Kule kwa wenyewe huwa ni nadra sana kwangu kupata likes...
Hakuna matabaka mkuu, ndio maana likes zako 5 sawa na bitoz, hapa usawa upo sana.Unataka kuniambia kuwa hapa kwa makapuku hakuna matabaka? Ina maana mimi wa kuja ninathamimiwa sawa na esteemed founder Sir Bitoz na officials wengine?
Ile kitu roho inapenda ukiwa mgeni hivi ni ngumu. Waweza paramia kapuku wa mtu halafu ikawa shida. Ila ingependeza sana japo kwa sasa niko mbali na Bongo kwa muda kama wa miezi mitatu hivi. Nafurahi tu jinsi nilivyopokelewa. Kule kwa wenyewe huwa ni nadra sana kwangu kupata likes...
Nini tena?Hali mbaya
UtawezaMambo zenu..
Watu na zamu zetu. Ndio nishaingia shift
Poa karibu mama.Mambo zenu..
Watu na zamu zetu. Ndio nishaingia shift
Aisee nmegonga mlango hujafungua, hebu njoo huku, kesi yako haijaisha.Mambo zenu..
Watu na zamu zetu. Ndio nishaingia shift