Makapuku Forum

Makapuku Forum

Jorowe kaweka kibao cha Seya huku akitoka kupokea maua mimi nazunguka kumtafuta mpenzi kweli shem hii ni fair?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] binamu mwenyewe kila akipewa maua anaponda nisikilize mimi cuzoo atakuwa na kitu kimemtinga namjua au hana simu
 
b8e130139abb2afc312ee82fcc0021d7.jpg
 
Obe inaonekana kaokota embe dodo chini ya mwembe kwa ulaini kama analia au kuna kingine kinachoendelea? Tangu jana nililiona fukuto la chini kwa chini likifukuta na sasa mnunurisho wa fukuto lile umeanza kutoa joto lenye kusisimua fikra. Na shemeji mtu naona nishapigwa chenga ya mwili. Mapenzi hata hivyo ni kikohozi. Ngoja tusubiri!
Hata mimi nimeona, dalili zilionekana
 
Back
Top Bottom