umekosa mkuu...nipo Man utdwewe unaonekana ni Barcelona pure...
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Tuwe pamoja humuHaya bhana...mpira dk90
Bale11Hala Madrid!
hahaha presha inapanda presha inashuka...Wakuu naona jf wameondoa mwaka wa members kujiunga, ni kuondoa tofauti ya kapuku na ukongwe labda!
Koncho77habari njema kwetu fans wa mkopo wa Man City Cristiano Ronaldo amepata injury wacha Real Madrid afe.
Umetisha ParokoHata ukitaka kumuua panya lazima umpe samaki au dagaa ilhali umempaka sumu, like nimempa kumvuta apokee kaushauri cha kata maneno, natamani kuona AMANI INATAWALA humu, ci wajua nafasi yangu mkuu Ximena jamani!
Sisi tupo sana...Hao wanoshabikia man city wasikimbie jukwaa tu
Hampati ubingwa mpaka Mr. bean Wengewenge aondoke
hakuna namna lazma wafe tuuhabari njema kwetu fans wa mkopo wa Man City Cristiano Ronaldo amepata injury wacha Real Madrid afe.
Bado kidogo game ianzeSisi tupo sana...
ni gud mkuu, siku yako imeendaje?Poa mishe vipi mkuu.
naamKoncho77
hilo ndio la msingiTuwe na subira
Pamoja mkuuUmetisha Paroko
............................
Asenali banaArsayNO
The Mandaz
.................