Makapuku Forum

Makapuku Forum

We si umelike post yake kana kwamba imekuvutia sasa mbona unamkataza??
Sipambani nae ila nimemwambia tu ili ajue kuwa kujifanya kwake Mshauri nasaha hakutaweza kumpa umaarufu anaotafuta kupitia makapuku
Hata ukitaka kumuua panya lazima umpe samaki au dagaa ilhali umempaka sumu, like nimempa kumvuta apokee kaushauri cha kata maneno, natamani kuona AMANI INATAWALA humu, ci wajua nafasi yangu mkuu Ximena jamani!
 
d499c7433c1fa0d2e1de4a2da379c320.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom