Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,226
- 68,242
sawa mkuu...msikimbie maana cr7 naskia panchaTuwe pamoja humu
sawa mkuu...msikimbie maana cr7 naskia panchaTuwe pamoja humu
Potezea ht style ya kuonesha mleta thread imebadilika Uzi unaanzisha ww lkn inaoneka I'd ya mtu wa mwisho kureplyWakuu naona jf wameondoa mwaka wa members kujiunga, ni kuondoa tofauti ya kapuku na ukongwe labda!
Kumbeeee hilo sikuligunduaPotezea ht style ya kuonesha mleta thread imebadilika Uzi unaanzisha ww lkn inaoneka I'd ya mtu wa mwisho kureply
Full magumashi
But browser IPO OK
.......................
Radika nakuona mkuuAsenali bana
Ndio mkuu tupo uko poaRadika nakuona mkuu
Sana tuuMzee wa update km kawa
.............
Umapoz pande gn huko mkuuNdio mkuu tupo uko poa
Ila nini mtaelewa tusawa mkuu...msikimbie maana cr7 naskia pancha
Umapoz pande gn huko mkuu
hapana.. mashabiki wa Man U wako kule kwa Cr7umekosa mkuu...nipo Man utd

Poa poa mkuuMkuu kimakazi au? Kama kimakazi npo kinondoni
Poa mkuuPoa poa mkuu
sio wote...wachache tupo kwa Man city kwasababu ni jirani yetu.hapana.. mashabiki wa Man U wako kule kwa Cr7
![]()
![]()
![]()
Mkuu mimi ni man city damu.Hao wanoshabikia man city wasikimbie jukwaa tu