Makapuku Forum

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kila ukinichekesha nitakupa UA hata km utayaita mishumaa





[emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji253]
Great! Asante kwa maua, afu yananukia vizuri kweli, umeyapulizia gift of Zanzibar eeh
 


Mmmh, hiki kingereza kirefu hivi ni apology tu au unataka kuomba mkopo.

Sisi tunaomba msamaha kiukweli NSA (no string attached) tunasemaga sorry then we offer a drink or two
 


Hapa kwa ulichoandika sijui hata niongeze nini? It's tu kusema kuwa mihimili mingine ukiacha ule wa Magu inaongozww na walamba viatu wasio na uwezo wa kujitambua wao binafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…