Makapuku Forum

Na wanajua kuitumia hii hazina
 
4/Urusi Huku ndo kwa yule jamaa wa Kumsamehe gaidi ni kazi ya Mungu lakini kumpeleka gaidi kwa Mungu ni kazi ya Putin....sasa fikiria ukiiba dhahabu yake/yao itakuwaje
Urusi ina hazina ya Tani zaidi ya 5000 za dhahabu
Huzalisha dhahabu Kg 200,000 kwa mwaka
.......
 
3/[USA
Hawa nao wapo
Dhahabu linapatikana kwa wingi huko Las Vegas na Nevada
Dhahabu nyingi imehifadhiwa kwenye mavault huko New York City,Fort and Knox
Kwa mwaka huzalisha dhahabu Kg 237,000
........
 
Bitoz usidhani sikuoni hahaaa - mi mwenyewe kapuku. Watu wachache sana hapa TZ wanaelewa maana ya Ontario.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…