1942 - Walter Rodney anazaliwa.
Alikuwa ni msomi, mwanaharakati kutoka nchini Guyana.
Moja ya kazi yake ni kitabu cha " How Europe Underdeveloped Africa ". Kitabu ambacho Wazungu hawakukipenda.
Alifundisha chuo kikuu cha Dar Es Salaam miaka ya 1970's.
Aliuwawa kwa bomu lililotegwa kwenye gari lake mwaka 1980.
Morning sweetie..
Ulikuwa unaota ndoto mbaya sana jitahidi upate tiba toka kwa Dr PaprikaNimeamka kichwa chini miguu juu..BTW Niko poa sana Kamanda..
Shukrani mkuuLeo Katika Historia:
Niwatakie siku njema.
Morning Jorowe....kwa kuwa nimedhamini magazeti leo kwanza nashukuru halafu namtaka kila Kapuku anywe chai na chapati kwa hela yake.
Good morning good people.
Fresh sana joh..Pouwa mkuu..
1944 - Ban Ki Moon anazaliwa.
Ni mwanasiasa na mwanadiplomasia mahiri kutoka nchini Korea Kusini.
Aliwahi pia kushika wafhifa wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa.
Pemba kwema?Fresh sana joh..
Hii ina strong reason kuwepo kwa sasaMkuu rudisha ile avatar yako
Morning
Kwa hio bado kitendawili kinaendelea!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] silindi watu wa humu mkuu. Nalinda majengo ya town sasa usiku silali nakuwa macho
Pemba kwema?
Niko pouwa mkuu..Hii ina strong reason kuwepo kwa sasa
BTW umeamkaje boss?
Ha haaa kitendawili mbona jibu lake lipo wazi. I will remain single here in makapuku!Kwa hio bado kitendawili kinaendelea!!!
Kwa hio bado kitendawili kinaendelea!!!