Makapuku Forum

Mimi hii ripoti sijaielewa kabisa
Tunawalalamikia wawekezaji tu ila wale ambao maslahi y'a taifa hawakuyaweka mbele bado wanadunda n'a Léo ndio wanaonekana wakimshangilia magufuli Ambae wakati mikataba hii ikipitishwa bungeni kwa hati y'a Dharura nae aliipitisha
Léo anatuahidi italetwa bungeni ipitiwe upya sawa tunasubiri ila tujue hâta jk aliwahi kutuambia mikataba italetwa bungeni lakini hakufanya hivyo

Ni ccm hawa hawa wakati ikipitishwa kwa Dharura hawakuoji kabisa ila wale ambao wanaitwa Léo hawana uzalendo pia wakati wanapinga mikataba kuletwa bungeni kwa hati y'a Dharura waliitwa pia hawana uzalendo

Sasa najiuliza ni uzalendo wa Aina gani tunatakiwa kuwa nao ili tuonekane wazalendo
 
hivi niulize kama hawa mawaziri walisaini hiyo mikataba marais waliowateua wanapona vipi ??
Kasome katiba
Marais wana kinga ya kutoshtakiwa hivyo hata mkiwapeleka Mahakamani Jaji/Hakimu atawaambia hao marais hawana kesi ya kujibu na kuwaachia tu huru maana wanashtakiwa kinyume cha katiba
Hivyo kuwataja akina JK Na Mkapa ni kupoteza muda
Hivyo km mmemind mkawashtaki tu mbinguni
Tatizo ni katiba mbovu
...........
 
Lakini kuna kiongozi hapo juu amekumbushia baadhi ya Operesheni ambazo JW ilizingua, kama OP tokomeza.
Hiyo huenda kulikuwa na wakubwa Jeshi ni/serikalini wenye maslahi binafsi na Mauaji ya tembo/wanyamapori ndiyo maana wakazingua maana askari anamtii mkubwa wake kijeshi au wa serikalini sasa hapo watu wameegemea maslahi yao halafu nje wanatuzuga
Ni tofauti na suala la Kibiti ambalo siyo la kimaslahi bali kiusalama zaidi
.....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…