Makapuku Forum

I am not serious about that.... I don't believe in such things
 
naogopa hivyo viumbe msivitaje jamaan usiku huu
 
kwan zaman binamu ulikuwa mchawi
Aaa wapi. Uchawi ukishatoa mpaka makafara na kuua watu huwezi kuacha na ukabaki salama. Itakubidi ulipe makafara na damu za watu uliowaua kwanza; na ikibidi utafute mtu wa kurithi mikoba yako. Ni process ndefu kidogo. Pengine bageshi alishatimiza masharti ya kujitoa
 
aiseee waje kwa Yesu jamaan wanapata faida gani huko
 
Anhaa kumbe cyber crime ipo ila ni mpaka ujaribu kuvunja sheria za nchi sawa.

Nadhani huko ni lazima kila device iwe on GPS
 
Amen mama

Na kwako pia

Uwe na usiku tulivu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…