Na huyo ndiye mnyama mwenye hisia kali za mapenzi
ShukraniEnd
.....
Take it an easy shemAISEE.....TANGU NIINGIE JF SIJAWAHI KUONA DABY ANAKASIRIKA POPOTE ULIPO UNISAMEHE TU MKUU
Aligoma kujibuunitag mkuu
ni huyo huyo aliyeimbwa katika muzikiHivi huyu cheusi mangala ni nani? Anatajwa tajwa sana humu. Ni mhusika katika hadithi? Ni yule aliyeimbwa katika muziki (sikumbuki jina la wimbo) au ni mchepuko wa mtu?
Ni wa kwenye wimboHivi huyu cheusi mangala ni nani? Anatajwa tajwa sana humu. Ni mhusika katika hadithi? Ni yule aliyeimbwa katika muziki (sikumbuki jina la wimbo) au ni mchepuko wa mtu?
Bwana shwemejii bhanaaaah...iwejee uwe na uchungu kwa mke wa mchawii kuliko yeye au ndo na wee usharogekaa ...Mheshimu shemeji yangu bana. Uchawi wa mumewe haumhusu
By the way, mumewe alikuwa mlinzi wako kwa muda mrefu. Hukujua kuwa alikuwa mchawi? Au ndiyo ilikuwa mojawapo ya qualifications?
haha! mkuu inaoneka umeikumbuka sana tom & jerry
Nitag ukijibiwaaHivi huyu cheusi mangala ni nani? Anatajwa tajwa sana humu. Ni mhusika katika hadithi? Ni yule aliyeimbwa katika muziki (sikumbuki jina la wimbo) au ni mchepuko wa mtu?
Unacheza na kichwa cha Havard universityDONDOO!!!!
Only found in Tz.
1. Mwanasheria wa serikali aliyehusika na kashfa nyingi za kifisadi
2. Bado ni kiongozi serikalini katika muhimili mmoja mkubwa kati ya mihimili mikubwa ya serikali.
3. Hajawahi kuchukuliwa hatua zozote za kisheria kuhusu tuhuma hizo.
4............(Ongeza na ya kwako)
Duuuuuh9/Brown Hare
Hawa ni sungura wenye rangi ya kahawia
Wana uwezo wa kukimbia 47 maili kwa saa
....
Mimi sirogeki kirahisi mkuuBwana shwemejii bhanaaaah...iwejee uwe na uchungu kwa mke wa mchawii kuliko yeye au ndo na wee usharogekaa ...
labda alikuwa anafanya kimyakimya na mm na mama D maombi yakianza utapendaa
Labda maombi yetu ylikuwa hayampi uhuru...unakumbukaa aliachaa mwenyewe
End
.....
Hemu niache mieUko poa mama mke wa mchawi
I see, huwezi amini jamaniNa huyo ndiye mnyama mwenye hisia kali za mapenzi
Mimi sirogeki kirahisi mkuu.
Yawezekana moto wa maombi ndiyo ulimfanya aache kazi. Endeleeni kushikana katika maombi na sala. Kusali pamoja ni njia mojawapo kuu ya kudumisha ndoa. Blessings!
DONDOO!!!!
Only found in Tz.
1. Mwanasheria wa serikali aliyehusika na kashfa nyingi za kifisadi
2. Bado ni kiongozi serikalini katika muhimili mmoja mkubwa kati ya mihimili mikubwa ya serikali.
3. Hajawahi kuchukuliwa hatua zozote za kisheria kuhusu tuhuma hizo.
4............(Ongeza na ya kwako)