Makapuku Forum

Mmmh!

MITHALI 8

INASEMA:-

21."Mauti na uzima vimo katika uwezo wa ulimi, nao waupendao watakula matunda yake"
Kamwe usijilaani mwenyewe
ZABURI 34

13.Uzuie ulimi wako na mabaya, na midomo yako na kusema hila''

MITHALI 12

18."Ulimi wa mwenyehaki ni afya"

Kila mtu anapenda lugha nzuri, tamu na maneno ya kutia moyo, uongeayo kwa ulimi wako ndiyo yatakufanya watu wakusogelee au kuwakimbiza.
Mungu atusaidie kwa lolote tunalojinenea vibaya tufanye toba na kuanza upya.... IPO njia.
 
Amen mama mchungaji
 
Sio mama tu wanaostahili kuheshimiwa hata ng'ombe. Kama unataka kizazi chako kiheshimiwe ni vyema ujiheshimu Kwanza.

Kwako swali nililoulizwa ni zuri kisa niliulizwa mimi au? Kwanini hukukemea nilipokashifiwa mimi?
Uwe na siku njema mkuu. Sina ugomvi nawe ila tu huwa nakereka sana nikiona mtu anatukana mama wa mtu. That's all my friend!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…