Mwanzo ni Mwisho
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 4,397
- 10,846
hata wewe ni special ndio maana amekupick wewe mkuuHow special I'm ....baby una followerz zaidi ya 45 ila mm pekee ndo nna access ya pm yako .....
Thanks baby
Kuna vya sanaa na trailer, ila sio hapa eti. Yani pamoja na unyenyekevu wote mithili ya waridi la alfajiri bado naokekana kingwendu. Uruhusu mshipa wa huruma basi upitishe damu walau hata dk 5 labda ndio utanielewa.Sanaaa
Nitumie lugha gani eti?mama mchuchu unaitwa hapaaa
tanteeepoyeee
hivi denoo ujue mama mchuchu ni mtu mzima kama mama yako ujue halaf kingine mama mchuchu hamtaki mtu yeyote zaidi ya mukongoNitumie lugha gani eti?
Kuna vya sanaa na trailer, ila sio hapa eti. Yani pamoja na unyenyekevu wote mithili ya waridi la alfajiri bado naokekana kingwendu. Uruhusu mshipa wa huruma basi upitishe damu walau hata dk 5 labda ndio utanielewa.
Nipo mwanangu asante kujali Mungu akutunze dearMama mchuchuuumwanao anakutafuta hku
Hata mm nakupenda mke mweeehahhaha mke mwee ujue me nakupenda
Ndioooeti eenh
Njema za Leo Mwifwa?Habari za jioni Makapuku
Mpaka na mi niweke leaving certificate ndio nitaonekana mtu mzima humu? Huyo Obe nilimwambia kila zama na watu wake. Kama alikuja na ngonjera za "eyo wasapu" obviously lazima aonekana joti to my BlessedHope.hivi denoo ujue mama mchuchu ni mtu mzima kama mama yako ujue halaf kingine mama mchuchu hamtaki mtu yeyote zaidi ya mukongo
kuna mtu anaitwa binamu obe we cha mtoto kaongea kila aina ya nyimbo na mpaka leo binamu obe hakati tamaa we mbona bado
Mwambie ajuehivi denoo ujue mama mchuchu ni mtu mzima kama mama yako ujue halaf kingine mama mchuchu hamtaki mtu yeyote zaidi ya mukongo
kuna mtu anaitwa binamu obe we cha mtoto kaongea kila aina ya nyimbo na mpaka leo binamu obe hakati tamaa we mbona bado
Lia ndo ealeweyou are so special to me my love more than the way u thinknakupenda Baba D wangu jamaan hata sijui nielezee vipiii
Pole mkuu kazana huenda ukapatahaha! mimi sijapata eti
am single as hell..! lakin nipo read to mingo!
Njema kabisa mkuuNjema za Leo Mwifwa?
Amen AsanteNzuri, Asante mama mchungaji uwe na jumapili njema yenye heri na Baraka tele
hata wewe ni special ndio maana amekupick wewe mkuu
ujui tu! hata mimi nilijaribu ngekewa yangu nikaangukia pua... Joke!
Mwambieni basi japo anene yakuwa sina nafasi kwake, Mi ntamuelewa taratibu japo itachukua miezi na miaka.Mwambie ajue
Asante mama we missed u alotNipo mwanangu asante kujali Mungu akutunze dear
Binamu kapata mwenzie hapaMpaka na mi niweke leaving certificate ndio nitaonekana mtu mzima humu? Huyo Obe nilimwambia kila zama na watu wake. Kama alikuja na ngonjera za "eyo wasapu" obviously lazima aonekana joti to my BlessedHope.