Makapuku Forum

Makapuku Forum

Si kuingia kwa maana ya kuingia...Ila ukipata wasaa pitia pale kuanzia saa 2 hivi....Si unajua wasawhili wanasema fahari ya macho...
Hahaha nimekusoma mkuu, ninasikitika pande hizo simo kabsaa, najua hapo kuna wadudu wa unga, ukiingia tu wanakimbilia kukamata bakora nami huwa spendi utani uliozidi nitazabua mtoto wa mtu bure nipate matatizo mkuu,,,napataga habari kuwa uuzaji holela unaendelea hasa underground floor sjui kiusahihi lkn
 
Umegonga kwenye point zote mkuu...
 
SWALI SWALI :
Mbona leo kwenye profile zetu hatuoni JOINING DATE YA JF.....Au ndo janja ya kuficha aibu ya wakongwe ?
Angalieni profile zenu km ni kweli
Hatumuadd mtu
Au tukakinukishe kule MEMBERS ONLY
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
................
.................
Mi mwenyewe nimebaki kukodoa
 
Back
Top Bottom