Makapuku Forum

Na tulivyo na imani za kishirikina km za "bwana yule"
Eti ajali ya Lucky Vincent utasikia wachawi na mvua hawapatani hivyo ni msimu wa makafara ya barabarani
Hata ajali ya basi kuteketea Butiama ni kafara la damu

.......
Imani za ushirikina ni janga la kitaifa na ni kipingamizi kikubwa cha maendeleo yetu. Kila kitu ni Ushirikina. Huku Koromije hata ukigongwa na treni watasema umechukuliwa msukule. Imagine vitoto vile vya Lucky Vincent. Badala ya kutafuta mbinu yakinifu na kuhakikisha kuwa ajali kama ile haijirudii tena (mf. kila mtoto awe na seat, mikanda ya lazima, ukaguzi...) sisi ni uchawi tu...
 
Point za kwenye msimamo siyo halisi
Sauzi iliambulia aibu baada ya kutolewa mapema
Mwisho wa siku Hispania akabeba ndoo kwa kumpiga Uholanzi 1:0 baada ya game kisha kwa sare tasa na kuongezwa dk 30 Iniesta alafanya yake
Nigel de Jong anakumbukwa kwa kumtandika mtu teke kifuani lakini hakuchezea umeme
........
 
Ulifanyika tu ukaguzi wa School buses siku mbili tatu
Now Maziwa yanaendelea km kawa na tumeshasahau
Tunasubiri siku litokee janga kingine la kafara la damu

.......
 
Refa alikuwa Howard Webb wakati De Jong akiruka Kung Fu style kifuani kwa Alonso.

Ushindi wa Spain, ukaifanya timu ya kwanza kutoka barani Ulaya kutwaa Kombe la Dunia nje ya bara la Ulaya.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…