Makapuku Forum

Kweliii mkuu
 
Ukifika hapo panatisha na hao jamaa ni ngangari kuweza kutoroka. Wengi wanaamini kwamba walikumbwa na mkondo wa maji wakamezwa na kwenda kutupwa bahari kuu kuwa chakula cha papa...
 
Leo katika Historia:

1937 - Great Purge: Soviet Union chini ya Kiongozi wake Joseph Stalin wananyonga Wanajeshi 8 ambao walikuwa ni viongozi ndani ya Jeshi la Nchi hiyo!

Anajulikana pia kama Great Terror ilihusisha kuwashughulikia "wakorofi" wote kama vile Wakomunisti,Viongozi wa kisiasa na wana jeshi(Red Army)
Ilivuma huko USSR karne ya 19
.......
 
2010 - Mashindano ya Kombe la Dunia la kwanza kufanyika Barani Afrika, yanafanyika huko South Africa kwa ufunguzi baina ya Wenyeji Afrika ya Kusini dhidi ya Mexico.

Mechi hiyo iliisha 1-1. Ambapo Siphiwe Tshabalala alikuwa mchezaji wa kwanza kufunga goli katika michuano hiyo!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…