1955 - Watazamaji 83 wa mbio za za magari wanafariki Dunia huku 100 wakijeruhiwa baada ya magari mawili kugongana katika mashindano ya 24 hours of Le Mans.
Inakuwa ni ajali iliyoua watazamaji wengi katika historia ya mashindano ya magari.
Ukistaajabu ya Okwi na Thimbwa ......utayaona ya Ngassa na Vyura Fc
Bongo tunachoweza ni siasa na pengine sex tu mpira hatuuwezi ndio maana Stars inanyanyaswa hata na Lesotho...afadhali Wakenya wanajulikana kwa riadha
Sisi burudani ndo kidogo tunaweza mfano Big Brother Africa na muziki Tuwekeze kwenye siasa zetu za porojo michezo siyo fani yetu
......