Makapuku Forum

2012 - George Saitoti anafariki Dunia baada ya helikopta aliyopanda kudondoka huko Kenya.

Alikuwa ni Waziri wa mambo ya ndani na Makamu wa Rais wa Kenya.

Wengi wanashuku ajali hiyo ilipangwa kama ambavyo mwandishi mashuhuri wa KTN Mohamed Ali aliwahi kufanya uchunguzi wake kupitia kipindi cha Jicho Pevu.

Aliuwawa akiwa katika harakati za kuwataja wauza unga nchini Kenya.
 
Hakuna kutoka jasho
 

Huyo ndo mfano mojawapo nzuri wa mapambano dhidi ya madawa ya kule vya yalivyo vita ngumu kiasi cha kugharimu ihai
Huku kwetu tuna kijana mmoja msaka kiki na mkurupukaji aitwaye Bashite ambaye hujifanya Waziri Kivuli wa kila Wizara
......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…