mzeewakungoa
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,969
- 13,920
Sawa bwana.... Wacha nikuache na 'shemeji' yako kwa sababu wewe "una busara sana".......Shunie ni dadaangu kwa sababu sote tunatoka Tanga.Ushemeji wetu uache. We nenda ukahangaike na Shunie huko. Nasikia siku hizi amegeuka na kuwa dadako. Maajabu ya karne!
Sawa bwana.... Wacha nikuache na 'shemeji' yako kwa sababu wewe "una busara sana".......Shunie ni dadaangu kwa sababu sote tunatoka Tanga.
Unajua huku kwetu wa kuoa vitrektaMtu wa kusaidiana naye kupambana na maisha. Wote si matajiri kama wewe mkuu
Ameshindwa kama wewe ulivoshindwaHayaga namhala. Mzee wa kung'oa lakini umeshindwa kumng'oa Shunie. Mashikolomageni baba!!!
Safi mkuu. Naona umeamka na moto balaa. Hadithi na UF tayari. Safi sana!!!Mkuu za kuamshwa? ?
Ndo mida yangu mkuu japo leo mmenivamiaa mapema sijawazoea mapema ....ila vuzuriSafi mkuu. Naona umeamka na moto balaa. Hadithi na UF tayari. Safi sana!!!
Huwezi jua kwamba ni mke wa mtu mpaka uambiwe... Na ukiambiwa mpaka uthibitishe.... Ukithibitisha kama wewe ni mstaarabu unaweka heshima..... We mkolomije vp?Ni aibu kwa mwanaume kumtongoza mke wa mtu mpaka anakushinda unabwaga manyanga na kuanza kumuita dada; na mumewe eti ndiyo anageuka na kuwa swahiba wako mkuu. Mtongozaji, mtongozwaji na mtongozewa wote majiganyanza katika hii ishu - something is not right.
Kumbe wote mnatoka sehemu moja. Ndo maana ulitaka kumng'oa nini Mzee wa kung'oa?Sawa bwana.... Wacha nikuache na 'shemeji' yako kwa sababu wewe "una busara sana".......Shunie ni dadaangu kwa sababu sote tunatoka Tanga.
Hii sikujua kama ndo ina maana hii, Safi sana
Karibu mkuuHii sikujua kama ndo ina maana hii, Safi sana
Achana nae Rafiki kipenz.... Yalikufa tukayazika.Mkuu nakupa vilivyoooo.....
Ngoja nimalize tizi hapa
???????Unajua huku kwetu wa kuoa vitrekta
BobdonUmeamkajeee kipenzi rafiki. ..
Nimemgundua nani ??
Kuna nini cha kuchekesha alichosema mng'oaji? Au unacheka tu kwa sababu you are happy to be alive?
Huwezi jua kwamba ni mke wa mtu mpaka uambiwe... Na ukiambiwa mpaka uthibitishe.... Ukithibitisha kama wewe ni mstaarabu unaweka heshima..... We mkolomije vp?