Busara zako mkuu..Una mdomo mzuri sana na sijui ni kwa nini unauita bakuli. Usimkufuru muumba bana...
Tuwe huru kusemeshana bila kutishana wala nini, japo kwa heshima. Sioni tatizo katika hili. Na hii kwangu ndiyo appeal kubwa ya Makapuku. Tutaelewana katika kila jambo? Of course not lakini hata katika kutoelewana kwetu heshima na upendo vitajidhihirisha. Ndiyo maana umenisikitisha uliposema eti ni afadhali ufunge bakuli lako. Why? Sema tu kama una la kusema ali mradi usiporomoshe matusi kama hawa wageni wanaokuja huku mara moja moja na kuchafua hali ya hewa.
Na kama hujui wewe ni shemeji yangu kwa sababu Shedede ni rafiki na mtani wangu sana. Juzi juzi hapa kanishirikisha wazo moja zuri sana la ujasiriamali. Ni nani anayeweza kufanya hivi?
Kuanzia sasa nitaanza kukuita shemela na kukupa heshima zako zote za ushemeji. Husna, umenielewa?
Mmh mbona sisi hatufanyi hivyoKule hata mbuzi tu, ila uvumilie tu, safari za lushoto huwa haziishi, kwa mwezi lazima aende hata mara moja au mbili
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shemeji una maneno wewee loh!Ndo hivyo...The lines can be crossed. Tuwe waangalifu. Mambo ya kanga moko umetoka bafuni kukoga halafu unainama mbele yangu kujipaka mafuta wakati Shedede mwenyewe yupo mbali safarini siyo mazuri...[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Watu kwa ujwaruuuAlikuwa na mchungaji mweupe pee wa kisambaa
Shimba ya buyenze huyo
Hahahahaaaaaa
Neno la Mungu lililo kuu ni upendoAlikua anamfundisha neno la Mungu au neno gani
My swi, nimeishamalizana naye[emoji3] [emoji3] [emoji3] Shululu njoo unisaidie hku mke mweee kaniwekea ngumu
Kupendana kumbeNeno la Mungu lililo kuu ni upendo
[emoji23] [emoji23] kwahhiyo wakapendanaNeno la Mungu lililo kuu ni upendo
Ukweli shemela mnapenda sana kwenda lushotoMmh mbona sisi hatufanyi hivyo
Shemela umemalizana na nani [emoji15] na mkianza kutozwa hela na pedeshee lee mjue me ndio napokea [emoji2]My swi, nimeishamalizana naye
[emoji3] [emoji3] [emoji3] Shululu njoo unisaidie hku mke mweee kaniwekea ngumu
Shemela hapana inategemea na familia sisi kwetu hatupo hivi kuna vitu muhimu vikitokea ni lazima muende lakini sio kiivyoUkweli shemela mnapenda sana kwenda lushoto
Ndio, kwani wewe humpendi LeeKupendana kumbe
Kama vile wewe na shedede[emoji23] [emoji23] kwahhiyo wakapendana
Nampenda mpaka nakufwa Baba D wanguNdio, kwani wewe humpendi Lee
Asante Komredi!!
Asante mkuuu
Asante Madenge
Pamoja mkuu..
One love.
Pamoja sana wadauAsante bitoz kwa top ten
Mimi nilikaa Sochi na Sinza wakati nahangaika na vitabu ila na kule Mlalo piaKuanzia Soni, Kongei, dochi, IJA, Lushoto mjini, na viunga vyake hunipotezi
Harafu mikate sasa,wanapenda sanaMimi nilikaa Sochi na Sinza wakati nahangaika na vitabu
Lushoto napapenda
Kuna baridi hatari na kijani kibichi cha kufa mtu
Shida ilikuwa ni Bus la Shambalai Wasambaa wakijaa wanaanza kuzungumza na mate kumiminika km mvua
.......