Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Asante mkuuu1/Princess Lalla SALMA
Ana umri wa miaka 39
Ndiye mke wa King Mohammed VI wa Moroko mwenye umri wa miaka 54
Ndiye Mfalme bishoo aliyekuja bongo mwaka jana akiwa na mapozi na macho ya kurembua kiasi watu kumsimanga kwamba ni shoga ila Sizonje alilamba misaada
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane Jumatatu
Mwisho
......
twendePoa
Tusepe au uko na Kivuruge wako
SwahibaaKwa wewe sahau, labda siku hiyo liwake jua jekundu
HaaaaahaaaaNakukata stimu? Kamwite Shedede akupandishie
Ni ninyi msiopenda mawazo tofauti na yenu japo si ajabu mnapigania demokrasia pia. Bila aibu unapayuka kabisa na maherufi makubwa juu utafikiri una moral authority ya kumnyamazisha mtu...
Kwa wewe sahau, labda siku hiyo liwake jua jekundu
Yaan wewe captain ndo umetucheza kindumbwendumbwee ??Makapuku.!Humu ndani kuna utani fulani hivi amazing.
Kuna groups wanataniana saanaa na hakuna ubaya.
Makapuku wengine wakijaribu kutania baadhi ya pairs au couples salalee.
Tafsiri ya makapuku ni watu wenye mtazamo mmoja mwelekeo mmoja na malengo yaliyo sawa.
Sasa daah! Mkwara unakuwa mzito sana.
Makapuku ni stress free zone. Pole mliokwazika na utani wangu.
Wapiii pedesheee lee toto ya peremendeakunyweeee bill ije kwa mke wa pedeshee lee
Aisee!3/Chantal Biya
Ana umri wa miaka 45
Huu ndio usingizi wa "babu" Paul Biya wa Cameroon.....vijana tafuteni pesa !!
Ni maarufu kwa kufanya matanuzi ya kila aina
Anapebdelea zaidi kwenda Paris kuchukua viwalo na makorokoro mengine
.....
Unataka akutoee out leo ??Yaani binamu yako amenichekesha sana Leo
Si kwa vikatunj hvyo
Hayatwende
Penda wewe zaidiMwaaaaaah!
Nakupenda..
Niambie TSwahibaa
Koh koh koh..Haya
Salam zako kutoka kwa Kampalewele, kasema nikuwish HBD halafu nikukumbushe ahadi yako ya kuwa sister
HahahaYaan wewe captain ndo umetucheza kindumbwendumbwee ??
Pole mume wanguKoh koh koh..