OKSiwezi kujadili mvuto wa mwili wa mwanamke kwa sababu hakuna sifa jumuishi za kimalimwengu zinazokubalika na kila mtu. Na kufanya hivyo, kwa maoni yangu, ni kupoteza muda tu. Mimi binafsi napenda vibonge lakini siwezi kuweka hapa picha ya mwanamke kibonge ndiyo nidai eti huyu ndiye mrembo wakati huo huo mtu kama Nyagei akiona mwanamke kibonge anatamani hata kukimbia.Ndiyo maana hapo juu nimesema kila mtu na lwake; na nikakimbia kabisa. Samahani kama nazingua lakini natoa maoni yangu tu kama ilivyo kawaida. Au unataka wote tuseme mrembo, mrembo, mrembo kama wengine wanavyofanya? Mrembo, mrembo, mrembo...kwa mujibu na vigezo vya nani? Vyako wewe?
Na kuhusu ugumu wa sura ya Mrs. Magufuli hiyo ni ishu nyingine ambayo kwa maoni yangu haina hata hadhi ya kujadiliwa hapa. Endelea kushusha hao "warembo" mkuu. Usikwazike !
mke mwee Baba D katuwekea story ni nzuri sana utakutana nayo[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mrembooooo!7/Ana Paula Dos Santos
Ndiye usingizi wa Rais wa Angola bwana Santos ambaye hataki kuacha kuogelea kwenye swimming pool la Ikulu licha ya kutawala muda mrefu
Enzi zake alikuwa ni nwanamitindo
......
MmhWanasema ndiye Bobdon [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji134] [emoji134] [emoji134]Hata cjui kapotelea wapi
We Husna umefunga kwani? Kwa nini unasema anaumwa?Anaumwa huyoo
Kila mlinzi ana technique zakeNdo kulinda gani, nitokee hapa mie
[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️OK
.....
Ni wewMondray ndiyo nani kwani?
Uko salamaaaaaHa ha ha ha ha ha ha ha.... Sijui na wewe kama moyo wako umesalimika.
Atariii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jf INA maambo
Mdomo huo mkuuMzeewakungoa, ulishafika wapi na Shunie wako? Nasikia nawe umeishia kuwa mlinzi kama Shedede. Ni kweli?
Shunie dadaanguMzeewakungoa, ulishafika wapi na Shunie wako? Nasikia nawe umeishia kuwa mlinzi kama Shedede. Ni kweli?
Umewajuajee ??Wewe ni KE au ME?
Kama wewe ni KE acha wivu hii siyo bahati yako ni ya sakayo Mkuu.
Kama ME angalia vizuri upo mbiyoni kupoteza sifa ya kuwa ME.
Mbona akina werrason, shimba ya Buyenze wametulia hawana hizo mambo unazofanya Mkuu?
Be like a Man!
Ukiwachunguza vizuri utagundua Marastafarrah wengi hawana makuu na mtuZab 23: bwana ndiye mchungaji wangu sitapungukiwa na kitu ......
Kwani marasta wanaamini biblia?!
Kipisi cha bange ili apige pafu kaburini[emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huo muandiko ni Wa tHivi mbona unaandika kama mondray...
Nimejiulizaa lakinHa ha ha ha ha ha ha ha ha
Kwanini asiwe ni wewe?Ni wew
Nizoee tuUmeanza eeeh