Nadhani yupo katika mishe za kusaka pesa. Biashara yake, kama zilivyo zingine, ni ya kusafiri safiri sana. Akipata mwanya atarudi. Mungu Ambariki na kumshika mkono huko aliko.
Stupid Criminals wa leo wanakujia sasa hivi. Kama kuna mtu anajua ambako naweza kuwapata stupid criminals wa kwetu huku Afrika (ya Mashariki) basi anitonye. Na kesho mjiandae kwa falsafa - thread mpya ambayo itakuwa inawajia siku za wikiendi tu pekee.