Nawzungumzia wa unguja hivyooo!!!Hahaha
Umejua kunifurahisha sanaa...
Mie nilijua wa bara bhana, kidogo nimpigie Kamanda Sirro
HahahaKuna vidume vya mbengu vinaomba msaada. Midomo haifunguki. Imejaa mate.
Wanafukuzia ndito (lugha za wahenga) demu (lugha za vijana).
KweliUtayapataje Mzee.....Yana wenyewe mkuu, tena ngozi nyeupe wameweka vibaraka wao!!!......
Kazi kwelikweliNadhani baada ya karne moja tutakuwa na la kwetu kutoka Zenji hadi Dar..
ID ya zamani bila shaka itakuwa ulishamtolea nje na sasa ameamua kujisulubu upya. Ila wanawake kusema kweli mna kazi. Imagine kutongozwa hivi kila siku. Mi ningekuwa napigana kila siku [emoji23][emoji23][emoji23]Huyo anayeniita ndo kwanza namuona leo, akuje na ID ya zamani nimtambue vyema..... Kinyume na hapooo ameagizwa tuu huyo!!!!!!