Makapuku Forum

Kiukweli nikiangalia yanayofanyikaga bungeni nikaangalia na jitihada za wenzetu wanavyokimbia
katika suala la maendeleo, huwa natamani yale majaribio ya masafa mrefu ya North Korea yaweyanafanyika pale Dom.
Kweli sisi hatuko silias ...

Maneno mengi nakumbuka na ile bajet ilishangiliwa kinomaa yaliyotokea tumeyaonaa
 
Weekends itakuwa safi. Wazo zuri na nitalifanyia kazi kwa sababu hapa inabidi kusoma kidogo na siyo blah blah...

Criminals wa huku kwetu mmmh. Nitajaribu. Shida ni kuwapata kwa sababu hawawi documented. Asante sana mkuu. I respect you!!!
 
MECHI ILIYOPIGWA MUDA MREFU ZAIDI DUNIANI

Hii ilikua mwaka 1942 fainali ya AMERICAN CUP ENZI HIZO,kati ya ARGENTINA na MAREKANI

kipute kilipgwa dk 90 wanaume wakatoka mbili kwa mbili, zikawekwa 30 wanaume wakamaliza hivo hivo,

refa KOLLAR DE QUISOR akasema twendeni kwenye matuta,kwenye 5 za kwanza wakatoka 4 kwa 4 akawaambia wapige zingine wakatoka 5 kwa 5,basi wakapigiana penalty karibu mia wakatoa sare.Kwa kua walikua wamechoka akawaomba wapumzike wakaenda mapumzko kurudi mambo yakaenda mpaka penalty mia zingne ikawa draw,zikapigwa hamsini zngne ikawa sare na watu njaa zinauma sana,basi bwana KOILLAR akawaambia wakapate msosi kwenye mgawaha wa karibu.Waliporudi ikapigwa penalt mpaka karibu na kesho na watu wakaambiwa laleni uwanjani,asubuhi zikapigwa tena kitu sare na ikawa hivo kwa siku 4 ndipo ikarushwa shilingi bado ikatua imesimama zaid ya mara kumi na 9,refaakawaomba wakate kombe nusu kwa nusu.

Nisipowadanganya Nyie ntamdanganya Nani sasa...?
Kapuku forever .....
 
 
Hatudanganyiki
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…