Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,265 Apr 26, 2016 #20,621 EMMYGUY said: Ni nzuri Mkuu, habari ya mapumziko? Click to expand... Emmyguy mambo vp kijana!
koncho77 JF-Expert Member Joined Feb 26, 2014 Posts 7,787 Reaction score 10,394 Apr 26, 2016 #20,622 jambilo said: Usiniite paroko..mwanahalisi atanitengenezea zengwe cc malasusa Click to expand... Mkuu jambilo una mkasa gani maana naona watu wanakuteta
jambilo said: Usiniite paroko..mwanahalisi atanitengenezea zengwe cc malasusa Click to expand... Mkuu jambilo una mkasa gani maana naona watu wanakuteta
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,265 Apr 26, 2016 #20,623 EMMYGUY said: Bora umenisaidia maana huyu jamaa anajitafutia magonjwa bure. Click to expand... Anajitafutia au anakutafutia wewe
EMMYGUY said: Bora umenisaidia maana huyu jamaa anajitafutia magonjwa bure. Click to expand... Anajitafutia au anakutafutia wewe
Youngblood JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,504 Reaction score 57,045 Apr 26, 2016 #20,624 EMMYGUY said: Unataka kuniambia damtanzania ni Ommy Dimpoz kama alivyo peterchoka? Click to expand... Damtanzania ni SHE
EMMYGUY said: Unataka kuniambia damtanzania ni Ommy Dimpoz kama alivyo peterchoka? Click to expand... Damtanzania ni SHE
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,115 Reaction score 25,414 Apr 26, 2016 #20,625 tpaul said: kilimo cha nyanya mkuu. Click to expand... Fursa za ulimaji wa nyanya zikoje Mkuu, hebu tupe angalau maelezo kidogo.
tpaul said: kilimo cha nyanya mkuu. Click to expand... Fursa za ulimaji wa nyanya zikoje Mkuu, hebu tupe angalau maelezo kidogo.
Youngblood JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,504 Reaction score 57,045 Apr 26, 2016 #20,626 xavia jr said: habari zenu wada. Click to expand... Poa. Habari ya wewe mkuu.
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,115 Reaction score 25,414 Apr 26, 2016 #20,627 koncho77 said: Nimepata kanafasi kidogo nimeona nipitie humu niwasalimie ndg zangu sio mbaya KUMEKUCHA WAJAMENI Click to expand... Kumekucha na Makucha yake Mkuu. Karibu.
koncho77 said: Nimepata kanafasi kidogo nimeona nipitie humu niwasalimie ndg zangu sio mbaya KUMEKUCHA WAJAMENI Click to expand... Kumekucha na Makucha yake Mkuu. Karibu.
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,265 Apr 26, 2016 #20,628 koncho77 said: Mkuu jambilo una mkasa gani maana naona watu wanakuteta Click to expand... Mkuu mkasa uliopo niliombea wagonjwa na wenye pepo wakapona naona baadhi ya mawakala wa yule jamaa wa kisambaa(shetani) walichukia
koncho77 said: Mkuu jambilo una mkasa gani maana naona watu wanakuteta Click to expand... Mkuu mkasa uliopo niliombea wagonjwa na wenye pepo wakapona naona baadhi ya mawakala wa yule jamaa wa kisambaa(shetani) walichukia
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,265 Apr 26, 2016 #20,630 koncho77 said: Mkuu jambilo una mkasa gani maana naona watu wanakuteta Click to expand... Mkuu hebu tua huo mzigo, pole sana
koncho77 said: Mkuu jambilo una mkasa gani maana naona watu wanakuteta Click to expand... Mkuu hebu tua huo mzigo, pole sana
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,115 Reaction score 25,414 Apr 26, 2016 #20,631 youngblood said: Damtanzania ni SHE Click to expand... Basi sizzya007 ajitafutie mtongozo pale ili apunguze kulialia akimlilia dada Jimena.
youngblood said: Damtanzania ni SHE Click to expand... Basi sizzya007 ajitafutie mtongozo pale ili apunguze kulialia akimlilia dada Jimena.
Youngblood JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,504 Reaction score 57,045 Apr 26, 2016 #20,632 koncho77 said: Mkuu jambilo una mkasa gani maana naona watu wanakuteta Click to expand... Huyu jamaa usikubali akuombee ni fake pastor.
koncho77 said: Mkuu jambilo una mkasa gani maana naona watu wanakuteta Click to expand... Huyu jamaa usikubali akuombee ni fake pastor.
koncho77 JF-Expert Member Joined Feb 26, 2014 Posts 7,787 Reaction score 10,394 Apr 26, 2016 #20,633 jambilo said: Mkuu mkasa uliopo niliombea wagonjwa na wenye pepo wakapona naona baadhi ya mawakala wa yule jamaa wa kisambaa(shetani) walichukia Click to expand... mmh mimi nilifikiri ushakuwa kama Malasusa
jambilo said: Mkuu mkasa uliopo niliombea wagonjwa na wenye pepo wakapona naona baadhi ya mawakala wa yule jamaa wa kisambaa(shetani) walichukia Click to expand... mmh mimi nilifikiri ushakuwa kama Malasusa
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,115 Reaction score 25,414 Apr 26, 2016 #20,634 jambilo said: Emmyguy mambo vp kijana! Click to expand... Safi kaka, habari ya wewe?
koncho77 JF-Expert Member Joined Feb 26, 2014 Posts 7,787 Reaction score 10,394 Apr 26, 2016 #20,635 EMMYGUY said: Kumekucha na Makucha yake Mkuu. Karibu. Click to expand... Ahsante
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,115 Reaction score 25,414 Apr 26, 2016 #20,636 koncho77 said: Mkuu jambilo una mkasa gani maana naona watu wanakuteta Click to expand... Amewahi kuwa baba Paroko fake kwa Makapuku.
koncho77 said: Mkuu jambilo una mkasa gani maana naona watu wanakuteta Click to expand... Amewahi kuwa baba Paroko fake kwa Makapuku.
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 70,485 Reaction score 167,265 Apr 26, 2016 #20,637 EMMYGUY said: Safi kaka, habari ya wewe? Click to expand... Mkuu niko poa sana
T 1990 ELY JF-Expert Member Joined Sep 7, 2014 Posts 12,932 Reaction score 30,092 Apr 26, 2016 #20,638 Napita Tu
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,115 Reaction score 25,414 Apr 26, 2016 #20,639 koncho77 said: Ahsante Click to expand... Pamoja sana Mkuu.
xavia jr JF-Expert Member Joined Jul 13, 2015 Posts 916 Reaction score 1,905 Apr 26, 2016 #20,640 EMMYGUY said: Ni nzuri Mkuu, habari ya mapumziko? Click to expand... Ni njema boss, vp ww.?