Makapuku Forum

Mambo Muhimu usiyo yajua kuhusu Twiga

Twiga ana miguu mirefu,shingo ndefu sana,ulimi mrefu na pembe fupi zilizo butu.Mwili wake una mabaka yenye rangi ya kikahawia(njano )na kuzungukwa na rangi ya maziwa.

Mnyama huyu anapatikana katika nyika hususan sehemu zenye migunga pamoja na mikakaya,miti ambayo huifurahia sana na ni chakula chake kikuu.


Twiga hana ushindani mkubwa wa chakula na wanyama wengine kwa vile yeye hula majani ya juu nchani wakati wanyama wengine hawafikii majani hayo.

Twiga ana urefu wa kati ya mita 4.8 na 5.5 Uzito wake ni kati ya kilo 700 na 1500.Twiga jike ana rangi ng'avu zaidi kuliko dume.Hii inaweza kuwa ni maumbile ya kuwavutia Twiga dume.Dume ni mkubwa na mzito kuliko jike.

Urefu wa ulimi wake ni kati ya sentimeta 46 hadi 50 wakati ambapo urefu wa moyo ni meta 0.6 Ana uwezo wa kukimbia kilometeta 55 kwa saa.Mkia wake ambao ni meta 2.4 ni mrefu kuliko mikia ya wanyama wote duniani.

Twiga huzaa mtoto mmoja kwa mara moja na huweza kuishi kati ya miaka 20 hadi 30.Huchukua mimba kwa muda wa miezi 14.15 hadi 15.mtoto anapozaliwa huwa na uzito wa kati ya kilo 45 hadi 70 na urefu wa mita1.8

Shingo yake ndefu hufanya mwendo wake kuwa wa madaha na kuwavutia watu wengi.
 
Kumbe breast ni nouma! Aliambiwa bebi ninyonye maziwa! Maskini General Abacha.
 
MATHAYO 7

7. Ombeni nanyi mtapewa,tafuteni nanyi mtapata,bisheni nanyi mtafunguliwa.

Mungu ulisema niombe nami nitapewa.Na nitafute nami nitapata.Nibishe nami nitafunguliwa.

MPENDWA
USIACHE KUOMBA,KANUNI HII INATUHAKIKISHIA KUPATA TUTAKACHOOMBA KWA IMANI

NAWATAKIA MCHANA MWEMA
 
Wooiw!!!! This is twiga
Asante mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…