Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Walikuwa ni Laura Ling na Euna Lee
Wote walikuwa ni maripota wa TV ya huko California
Kila mmoja alihukumiwa miaka 12 jela ila nafikiri baadaye waliachiwa kidiplomasia
Wangekuwa waandishi wa kibongo Sizonje angewapotezea tu
Wenzetu wanawajali raia wao
.....
Kwahiyo hili neno "bongo" lina asili ya Gabon?2009 - Omar Bongo anafariki Dunia.
Alikuwa ni Rais wa Gabon ambaye amekaa madarakani kwa miaka 25 mpaka kifo chake kinamkuta.
Kwasasa nchi inaongozwa na mwanae.
Asante mkuuLeo katika Historia:
Niwatakie siku njema.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23], tatizo nimegundua ulienda na sound za kwenye flop disc wakati watu wanatumia flash disc siku hizi.Utaniharibia sasa anko, hujasikia kanikataa mchana kabisa afu usiku gizani ananikonyeza, nitamuonaje sasa?
Kama haki ingetendeka Duniani, hawa jamaa walitakiwa wawe ICC.
Hawa akina Bush(Sr & Jr) sijawahi kuwakubali hasa walichokifanya kule Irak kwa Saddam
.....
Kama nakuonaaAisee.. Hiyo mikwara mi ndio siipendagi asee wote ni member Wa jf km we ni mnyongaji ni huko kwenu humu tunachati then kila mtu na life lake tangu niingie jf sijawahi kugombana na mtu afu hata ukinitusi sitaweza kukurudishia nakupotezea
Hakuna cha team b wa LA team o member wote ni sawa tu
AsanteeLeo katika Historia:
Niwatakie siku njema.
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Utaniharibia sasa anko, hujasikia kanikataa mchana kabisa afu usiku gizani ananikonyeza, nitamuonaje sasa?
Dar kubwaaMi Niko dar mkuu
Mi bado najituma kwa Mama Mchungaji, japo nimekwambia "hasinikubali haraka"Utaniharibia sasa anko, hujasikia kanikataa mchana kabisa afu usiku gizani ananikonyeza, nitamuonaje sasa?
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Sorry bhinamu ....ila muhimu turudi kwa mtaalamu
Mi nilijua uko Kigoma kumbe kule nyumbani tu eehMi Niko dar mkuu
Ubarikiwe sana mkuu ShululuView attachment 521106Kutoka magazetini sina la ziada tukutane tena kesho muda na wakati kama huu kwa udhamini mnono wa Lee empire
Nawatakieni wote siku njema
Pamoja KomrediAsantee
Hahahaaaa LeeKipenzi rafiki ...
Sijamchukiaa ulikuwa upuuzi wa lee
Pamoja bibie!!Asante mkuu
Hata km pakiwa na sababu huwezi kuninyonga mm alaaaa....Siwezi fanya hivyo bila sababu
Mungu awaepushe na maafaa