Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Aisee.. Hiyo mikwara mi ndio siipendagi asee wote ni member Wa jf km we ni mnyongaji ni huko kwenu humu tunachati then kila mtu na life lake tangu niingie jf sijawahi kugombana na mtu afu hata ukinitusi sitaweza kukurudishia nakupotezeaNafikiri tutajuana siku mmoja akipita kwenye anga la mwingine, take care
mkuu mbona mwanzo imejieleza?Hivi hili jukwaa linahusika na nini makapuku ndio nini mnijuze nataka niwe mmoja wapo
Yeah,ndio nilivyoAchana nae, ataanza kujichekesha muda si mrefu
Utaelewa tuKwani vipeee.....mbona husomeki?! Kuna ugomvi gn hapa?!
2009 - Waandishi wawili wa Kimarekani wanakutwa na kosa la kuingia Korea Kaskazini kinyemela, hivyo wanahukumiwa kwenda jela miaka 12.
Niwe bubu ili iweje?!Umekuwa bubu
R.I.p1967 - Vita ya Siku Sita: Meli ya Kivita ya Marekani The USS Liberty yashambuliwa kwa bahati mbaya na Ndege za kivita za Israel na kuua watu 34 huku 171 wakijeruhiwa.
Kuna mtu nakambia nikija napata likes 100 zikowapi sasa?
Hamna timu wala mkwara hapo, ni mawazo yako tu so take it easyAisee.. Hiyo mikwara mi ndio siipendagi asee wote ni member Wa jf km we ni mnyongaji ni huko kwenu humu tunachati then kila mtu na life lake tangu niingie jf sijawahi kugombana na mtu afu hata ukinitusi sitaweza kukurudishia nakupotezea
Hakuna cha team b wa LA team o member wote ni sawa tu
Shikamoo mkuuUnapoona kuna moderator around basi ujue safety imezingatiwa hapo.
Siwezi fanya hivyo bila sababuNiwe bubu ili iweje?!
Hebu ninyonge tuone km kweli wewe ni mnyongaji
Happy birthday kwake1977 - Kanye West anazaliwa.
Ni mwanamuziki wa Hiphop toka Marekani.
Mi Niko dar mkuuHabari za huko mwisho wa reli?
Hili dude niliona siku linahamshwa nikajua bongo movie.
1998 - Rais na Jenerali wa Nigeria Sani Abacha anafariki Dunia.
Alifariki akiwa anafanya mapenzi na machangudoa wawili wa Kiasia katika Ikulu ya Nigeria na alizikwa siku hiyo hiyo bila kufanyiwa uchunguzi. Inaaminika aliteheshewa sumu katika matiti.
Alikuwa ni dikteta wa Nigeria ambapo alitawala kwa mkono wa chuma.
Katika utawala wake, Mwanafasihi mashuhuri Wole Soyinka alikimbia Nchi kutokana na kutishiwa uhai wake.
1925 - Barbara Bush anazaliwa.
Ni mke wa Rais wa zamani wa Marekani, George H.W. Bush
Pia ni mama mzazi wa Rais wa zamani wa Marekani, George W. Bush
Hakika mkuu hilo jina lina bahati sana. Hata PM wa sasa anayemaliza muda wake!
Inaonekana huko Uingereza jina la Margaret/Magret lina bahari
Km ilivyokuwa kwa Magret Thatcher Iron Lady
......