Honestly sijawahi angushwa na sijui kama itatokea niangushwe na wewe. Maombi mjarabu kabisa mpaka yamenitoa usingizini ghafla. Ndio maana huwa najisema "husinikubali haraka"[emoji524] 1 YOHANA 5
14. Na huu ndio ujasiri tulio nao kwake,ya kuwa tukiomba kitu sawasawa na mapenzi yake,atusikia.
TUOMBE
Asante Baba kwa ulinzi wako mchana kutwa,tunaomba toba kwa mabaya yote tuliyotenda kwa mawazo ,maneno,matendo na kwa kutotimiza wajibu wetu mbalimbali tusamehe twakusihi.
Tunajikabidhi mikononi mwako tulinde tuondoe katika hatari mbalimbali tukumbatie usiku kucha hadi tutakapoamka kesho mfalme wa Amani.
Ponya wagonjwa,fariji wafiwa na wajane ,yatima .
Tunakuomba tuimarishe tukuamini na kukupenda na kuleta mahitaji yetu mbele zako tukiamini kupokea.
Tunakemea nguvu zote za giza,pepo wachafu na tunaenda kinyume na hila zote za shetani,damu ya Yesu itawale.
Asante Baba kwa kutupa mahitaji yetu sawa na mapenzi yako,Roho Mtakatifu mfariji wetu kaa nasi tufundishe kuomba na kutii
Tunaomba na kushukuru Amen[emoji120]
USIKU MWEMA MBARIKIWE[emoji7] [emoji7]
[emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18]....sema pole pole wasikusikie wanaonitaka wakafuata mkumbo wako.
BTW nilikutaka kimyakimya vipi kunikataa unakodi spika za adhana
Amen asanteHonestly sijawahi angushwa na sijui kama itatokea niangushwe na wewe. Maombi mjarabu kabisa mpaka yamenitoa usingizini ghafla. Ndio maana huwa najisema "husinikubali haraka"
Eeh Baba Mungu sikiliza na bariki mahitaji ya nafsi zetu si kwa mapenzi yetu sisi, bali kadiri ya mapenzi yako Baba. Pokea na bariki Sala na maombi ya jamii hii, ili vipepee kama moshi wa ubani mbele ya uso wako. Ameen.
Barikiwa sana Mama Mchungaji tumaini langu.
"ALIYEPUNGUKIWA NA AKILI UWAONEA WATU"
TupoNajihisi nipo peke yangu humu!jamani makupu wenzangu mpo?mmejificha wapi?
Nawe pia Obe ubarikiwe sana lala salama[emoji120]Usiku mwema
Tuendelee kufanya maombi mama chungaji?Tupo
Raia kama hao ujue msukumo wao wa damu una matatizo, huwenda damu zao zinasukumwa na Figo sio Moyo.Makapuku members kazi tuna/mnayo maana sio kwa kusakamwa huku..
Ila kama anavyosema Bitoz issue ni kuwapotezea tu kama mtu atapapenda humu aje tu awe mwanafamilia..
..[HASHTAG]#Mond[/HASHTAG]
[emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18]
Tuendelee kufanya maombi mama chungaji?
[emoji524] MATHAYO 25
13.Basi kesheni ,kwasababu hamuijui siku wala saa.
Hakika yatupasa kukesha tukiomba na kuombea wengine maaba siku ya Baba kuja kutuchukua hatuifahamu yatupasa kuwa tayari muda wote.
"ALIYEPUNGUKIWA NA AKILI UWAONEA WATU"
Tuendelee kufanya maombi mama chungaji?
"ALIYEPUNGUKIWA NA AKILI UWAONEA WATU"
Ulale..veepee mbona unaangalia chini?
Nawaza tuveepee mbona unaangalia chini?
Nawaza tu
Ulale..
Ahsante kwetu soteUsiku mwema
Amen[emoji524] 1 YOHANA 5
14. Na huu ndio ujasiri tulio nao kwake,ya kuwa tukiomba kitu sawasawa na mapenzi yake,atusikia.
TUOMBE
Asante Baba kwa ulinzi wako mchana kutwa,tunaomba toba kwa mabaya yote tuliyotenda kwa mawazo ,maneno,matendo na kwa kutotimiza wajibu wetu mbalimbali tusamehe twakusihi.
Tunajikabidhi mikononi mwako tulinde tuondoe katika hatari mbalimbali tukumbatie usiku kucha hadi tutakapoamka kesho mfalme wa Amani.
Ponya wagonjwa,fariji wafiwa na wajane ,yatima .
Tunakuomba tuimarishe tukuamini na kukupenda na kuleta mahitaji yetu mbele zako tukiamini kupokea.
Tunakemea nguvu zote za giza,pepo wachafu na tunaenda kinyume na hila zote za shetani,damu ya Yesu itawale.
Asante Baba kwa kutupa mahitaji yetu sawa na mapenzi yako,Roho Mtakatifu mfariji wetu kaa nasi tufundishe kuomba na kutii
Tunaomba na kushukuru Amen[emoji120]
USIKU MWEMA MBARIKIWE[emoji7] [emoji7]
Nilifikiri Shedede wakati ule ulipomfuma akiwa mlinzi na emehamishia sime na marungu nyumba kuu...Wakuu siku inasongaaa ....
Kufumaniaa raha sanaa...nyagei kashapata aki yakee...