Makapuku Forum

10/Ngamia
Ana uwezo mkubwa wa kukaa bila kula wala kunywa maji ila ana jeuri ya kukaa muda mrefu bila kunywa maji kuliko kula
Anahifadhi baadhi ya maji anayokunywa kwenye nundu iliyoundwa kwa fatty tissues
Pindi anapokosa chakula na maji basi mafuta yaliyopo kwenye nundu huyeyuka na kugeuka maji na hivyo kuendelea kudunda tu
Ana uwezo wa kukaa bila kula kwa siku 40
.......
 
Ingekuwa hivi hadi kwa binadamu ingekuwa muruwa kabisa
 
9/Homo Sapiens
Kizazi cha karne hii cha chipsi mayai cha matozi na masistaduu sijui kama kinaweza kukaa na njaa japo siku 3 tu
Bhagat Singh mwaka 1929 aliweka mgomo wa kutokula hunger strike ambao pia ulichochea kupatikana kwa ihuru wa India 1947
Ilikuwa ni baada ya kuswekwa gerezani kwa kosa la Mauaji na wakoloni wa Kiingereza
Alikaa siku 116 bila kula hadi pale serikali iliposarenda na kufikia naye mwafaka
Alipoteza uzito wa Kg 60
.......
 
Leta maneno
 
Kwelii mkuu huyu jamaa hafai
 
Duuuuuuh ..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…