Makapuku Forum

Tupo salama kabisa, ila tulikuwa na mgogoro kidogo kuhusu baby wangu aggyjay na shemejiye youngblood.
Dah! Pole sana ila shemeji yangu youngblood tangu mpenzi wake Nahrene atoweke bila taarifa amekuwa ni mtu wa mawazo sana sasa kumsaidia wewe mpe darasa tu my wife wako aggyjay aendelee kumfariji tu kwa kumwita majina matamu ila asipitilze mipaka mpaka pale Nahrene atakapo patikana...Na the same nitafanya kwa wife wangu amaizing awe nae karibu tu amfariji..
 
Anitafute haraka
 
Basi sawa kwa vile umeniambia wewe braza wangu, nitajitahidi nitaongea nae baby wangu aggyjay.

cc: my sweet aggyjay
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…