Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,870
Usinishirikishe![]()
![]()
![]()
ndio mana nakupenda ujue baba mchuchu wa ma flowers
Usinishirikishe![]()
![]()
![]()
ndio mana nakupenda ujue baba mchuchu wa ma flowersShukrani bibieAsante Mussolin kwa historia
Tetea familia yako, usiruhusu kizembe kizembe hivyohizo hisa nazisamehe baba angu nakuwa mtawa we kama unaongeza mke mdogo ila jua mimi sipo
unacheka nini?
Pia nakumbuka yeye ndio alikuwa nahodha wa kikosi kile!Fainali ya 2002 aliionyesha Dunia kuwa yeye ni beki bora wa kulia
Shaka ondoa mama ...si tubakubaliana ...make unajua mwenyewe navokuloveehizo hisa nazisamehe baba angu nakuwa mtawa we kama unaongeza mke mdogo ila jua mimi sipo
shemela mwanaume hafugiki siku akijua umuhimu wako atarudiTetea familia yako, usiruhusu kizembe kizembe hivyo
Kwenye nini mm nakupa taarifa tu ...Usinishirikishe![]()
![]()
![]()
Kweli kabisaPia nakumbuka yeye ndio alikuwa nahodha wa kikosi kile!
kukubaliana nini swala la mke wa pili kama unaamua ni maamuzi yako mwenyewe ila jua akiingia me natokaShaka ondoa mama ...si tubakubaliana ...make unajua mwenyewe navokulovee
![]()
ndio mana nakupenda ujue baba mchuchu wa ma flowers
wasiokumbushwa ndo nawapenda. ukiwa hivyo sitakusumbua.Hilo ni jukumu langu .... Yaani sihitaji kukumbushwa....sema jengine baby.
Mke mkubwa umemsalimiaa ??unacheka nini?
Tangu ametoka porini amebadilika sanashemela mwanaume hafugiki siku akijua umuhimu wako atarudi
Hapa ntajua kama dadaangu ananipenda kama ninavyompenda mimi... ...akikubali kushare tu najua hanipendi.Unaenda wapi ...
Kushare wewe una hisa kubwaa
baba kiroho safi tu mimi kushare siwezi kama unaongeza me najitoa
Utaendaa wapiii jamaniikukubaliana nini swala la mke wa pili kama unaamua ni maamuzi yako mwenyewe ila jua akiingia me natoka
nashkuru shemela kwa kuliona hilo labda kuna kitu katuna nacho kimembadilishaTangu ametoka porini amebadilika sana
nilisema nani ana michepuko?![]()
![]()
![]()
![]()
Mbona jana ulisema ana michepukoo