Makapuku Forum

Makapuku Forum

2327409ae6ce77ad52aed5670803a7eb.jpg
782f873de40c9ba5641fd65f4af667cf.jpg

Mwisho wa siku West Indies wakabeba ndoo na kuwa mabingwa wa kwanza wa dunia
Nadhani Waingereza walishindwa kufanya figisu zao za kwenye soka maana pindi wakiandaa mashindano hupenyeza sana fitina
.....
Kitengo cha figisu na propaganda kilikuwa dhaifu.
 
1977 - Watu takribani Milioni 500 Duniani wanashuhudia mubashara matangazo ya Sherehe za kutimiza miaka 25 toka Malkia Elizabeth wa II kupewa madaraka ya kuongoza nchi ya Uingereza na Jumuiya ya Madola.
81ed14dd6af931b43ad518423e888115.jpg
6731fe8bdd6ded6f5c8e405c75830761.jpg

Ni moja kati ya viongozi 10 wazee zaidi duniani wanaoziongoza nchi
Kazidiwa na Komredi Mugabe pekee
Ila yeye haitwi Dikteta tofauti na mwenzie
.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom