Makapuku Forum

Makapuku Forum

1981 - Jeshi la Anga la Israel lashambulia na kuharibu Vinu vya Nyuklia vya Iraq katika Shambulizi la kushtukiza lilijulikana kama Operesheni Opera au Operesheni Babylon.
2b60b22270dbbd12927b016dd6d1dcf3.jpg
07eb7163ebefb86dfe249f5bc5893508.jpg


Askari 10 wa Irak walipoteza maisha pia na raia mmoja wa Ufaransa

......
 
1970 - Cafu anazaliwa.

Ni mwanasoka wa zamani wa Brazil.

Pia amewahi kucheza katika klabu ya Ac Milan kwa mafanikio makubwa.

Amecheza katika fainali tatu za Kombe la Dunia, Mwaka 1994 wakishinda kombe la Dunia dhidi ya Italy Mwaka 1998 wakifungwa fainali dhidi ya Ufaransa na mwaka 2002 wakishinda kombe la Dunia dhidi ya Ujerumani.

Ndiye beki bora wa kulia kuwahi kumshuhudia.
HBD Cafu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom