Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
me nimefanyaje tenaNa wewe ....
me nimefanyaje tenaNa wewe ....
Hajui kama una moyousinilishe maneno jamaan kama unataka mke mdogo niambie nijitoe nimwachie jamaan kushare siwezi
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Nzuri shem darling
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]mimi apa mukongo bora umerudi mama mchuchu alitaka kutekwa lee nae akiwa mmojawapo wa kumpeleka mama mchuchu kwa binamu obe
[emoji1] Wanajisumbua kwa my love[emoji7]mimi apa mukongo bora umerudi mama mchuchu alitaka kutekwa lee nae akiwa mmojawapo wa kumpeleka mama mchuchu kwa binamu obe
Mzee wa kungoa shkamoo na ww naona unaitamani ya hny wanguMarhabbaaa..... Aaah samahani Shululu rafiki. Nilijisahau nikafkiri ni........ Alisalimia ha ha ha ha ha.
1967 - Vita ya Siku sita: Majeshi ya Israel yanaingia ndani ya Jiji la Jerusalem.
[emoji3] [emoji3]Nakuona nakuonaaa kipenzii
shemela moyo wangu sio wa nchi hii lakini vingine vimenishindaHajui kama una moyo
hbd prince1958 - Mwanamuziki Prince anazaliwa.
Alikuwa ni mwanamuziki kutoka nchini Marekani.
Alifariki mwaka 2016.
Kwenye kutekame nimefanyaje tena
HBD prince1958 - Mwanamuziki Prince anazaliwa.
Alikuwa ni mwanamuziki kutoka nchini Marekani.
Alifariki mwaka 2016.
vipi tena shemela wangu[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Chuma cha mjerumanHajui kama una moyo
Unamuonaaa[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Kakumis kukuonaa humu ....jitoe ufahamu uone sasa
[emoji1] Wanajisumbua kwa my love[emoji7]
HBD Mike Pence, jamaa yupo cool sana na diplomatic anaijua sana1959 - Mike Pence anazaliwa.
Ni makamu wa Rais wa sasa wa Marekani.