Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,509
- 94,639
bado nafikiria..yaani nikubali kirahisi rahisi hivyo? Hata mahari hujatoa!![]()
![]()
![]()
![]()
.......mwambie basi Lee abakie na Shunie wake... Wewe ushapata timu.
bado nafikiria..yaani nikubali kirahisi rahisi hivyo? Hata mahari hujatoa!![]()
![]()
![]()
![]()
.......mwambie basi Lee abakie na Shunie wake... Wewe ushapata timu.
Mmmmmmh ila wewe
Kizembe hivoo![]()
![]()
![]()
![]()
.......mwambie basi Lee abakie na Shunie wake... Wewe ushapata timu.
Aisee, itaichukua Dunia muda mrefu sana kumpata MJ mpya.
Morning wakwetuMorning mukongo
Mim mushenga wako obe yuko njianiibado nafikiria..yaani nikubali kirahisi rahisi hivyo? Hata mahari hujatoa!
Mambo ya Edgar Hoover!
Kweliii mkuuAisee, itaichukua Dunia muda mrefu sana kumpata MJ mpya.
Pamoja sana Mkuu...Wakuu good morning again ...na tuwe na siku njema tukumbuke kufanya yanayompendeza Mungu...
But....![]()
Mahari si mpaka ukubali...toa tamko tulipe maharibado nafikiria..yaani nikubali kirahisi rahisi hivyo? Hata mahari hujatoa!
bado nafikiriaMahari si mpaka ukubali...toa tamko tulipe mahari
Si Unajua final day hijack RafikiKizembe hivoo
Nakupendaa ujueeebado nafikiria
Wacha kunizunguka RafikiMim mushenga wako obe yuko njianii
Nakuzungukajeee ....demi mke mdogo muulizeWacha kunizunguka Rafiki