Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Niachieniii mke mdogooMhh... We mtoto wee.... Tatizo lako nini .....mimi nikiwa mumeo utalazimisha muwe wa nne
Niachieniii mke mdogooMhh... We mtoto wee.... Tatizo lako nini .....mimi nikiwa mumeo utalazimisha muwe wa nne
Si huuNiachieniii mke mdogoo
Sitalazimisha itabidi uridhie tu maana najua na mimi sitakutosha utatamani kutoka nje. bora tupeane uhuru..heshima iwepoMhh... We mtoto wee.... Tatizo lako nini .....mimi nikiwa mumeo utalazimisha muwe wa nne
Mke mdogo achana naeSitalazimisha itabidi uridhie tu maana najua na mimi sitakutosha utatamani kutoka nje. bora tupeane uhuru..heshima iwepo
Kama moto utaumudu sina sababu ya kutafuta mwingine... ...lakini ujue dozi kutwa mara tatuSitalazimisha itabidi uridhie tu maana najua na mimi sitakutosha utatamani kutoka nje. bora tupeane uhuru..heshima iwepo
Umechelewaaaa....Kama moto utaumudu sina sababu ya kutafuta mwingine... ...lakini ujue dozi kutwa mara tatu
Sasa urafiki gani huo Rafiki kipenz..... Hebu katembelee masaini kidogoMke mdogo achana nae
Hata kutwa mara nne..kama unanichezea muziki mzuri sina tatizoKama moto utaumudu sina sababu ya kutafuta mwingine... ...lakini ujue dozi kutwa mara tatu
Kipenzi rafiki nimekupa mda umeshindwa kutumiaa ...Sasa urafiki gani huo Rafiki kipenz..... Hebu katembelee masaini kidogo
Unajua total football? Mpira kipa anaanza kwa beki pasi fupi fupi mpaka kwa mfungaji.... Yaani kila sehemu ya uwanja mpira upite.... Sio kipa apige mbele tuwahi kufunga. Upo Demi?Hata kutwa mara nne..kama unanichezea muziki mzuri sina tatizo
Nakuaminia Mzee wa Kung'oa!Unajua total football? Mpira kipa anaanza kwa beki pasi fupi fupi mpaka kwa mfungaji.... Yaani kila sehemu ya uwanja mpira upite.... Sio kipa apige mbele tuwahi kufunga. Upo Demi?
We are locked in negotiations.... But the player will be transfered to our team Rafiki kipenz sijachelewa ha ha ha ha haKipenzi rafiki nimekupa mda umeshindwa kutumiaa ...
Umemsikia mwenyewe mke mdogo alivosema
Mke mkubwa ataendelea kuwa mkubwa na kumuongozaa vyemaa
Asante Lee ubarikiwe...Wakuu good morning again ...na tuwe na siku njema tukumbuke kufanya yanayompendeza Mungu...
But....![]()

Nakuaminia Mzee wa Kung'oa!
.......mwambie basi Lee abakie na Shunie wake... Wewe ushapata timu.Asante Mkuu ,Asante MukongoDONDOO ZA MAGAZETI YA LEO, ZINAWAJIA KWA UDHAMINI WA MUKONGO

KaribuuAsante Lee ubarikiwe...![]()