Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Mke mdogo huyo ...Ngoja nikuhug huku niiekufunika na koti Lee asikuone
Mke mdogo huyo ...Ngoja nikuhug huku niiekufunika na koti Lee asikuone
Tupo... KaribuHabari ya humu wanamakapuku wenzangu mupoooooo
Ha ha ha ha ha ha ha.. Mwenyewe ameelewa... Ulitaka akutag... Nikaona asisumbukeUmenijibiaa au
Na wewe piaMuwe na siku njema
mke mdogo wa nani?Mke mdogo huyo ...
Kwanguumke mdogo wa nani?
Lazima mke mkubwa aridhie.Kwanguu
Kwanza ridhia wewe ...alafu yeye ntampa taarifa ila unatakiwa kumheshimu ni mke mkubwa ...Lazima mke mkubwa aridhie.

Haya.... Una kazi ya kumridhisha mke mkubwaKwanza ridhia wewe ...alafu yeye ntampa taarifa ila unatakiwa kumheshimu ni mke mkubwa ...![]()
![]()
Pamoja sana bitozMaskini Thimbwa
Nasikia kachinjwa na watoto wa UMISSETA kutoka Nakuru
.
.
.
.
Ahsante kwa magazeti
....
Mume mmoja mi hanitoshi!Haya.... Una kazi ya kumridhisha mke mkubwa
aku! Aridhie yeye kwanza!Kwanza ridhia wewe ...alafu yeye ntampa taarifa ila unatakiwa kumheshimu ni mke mkubwa ...![]()
![]()
Mbona wote wataridhikaaaaHaya.... Una kazi ya kumridhisha mke mkubwa
Aha ha ha ha ...unataka na weww uwe na mchepukoo ??Mume mmoja mi hanitoshi!
Nawe pia NyageiMuwe na siku njema
Sasa mke mdogo huniaminiiaku! Aridhie yeye kwanza!
Mhh... We mtoto wee.... Tatizo lako nini .....mimi nikiwa mumeo utalazimisha muwe wa nneMume mmoja mi hanitoshi!
Wacha uroho RafikiMbona wote wataridhikaaaa