Makapuku Forum

siku hizi umekua wa utani utani nikikimbuka avatar yako ya eddie murphy
 
Ni shughuli nzito sana
Huku unasoma hapo hapo unabadili lugha halafu uongezee na akili zako kisha ufupishe halafu uandike
Ni balaa
Hata Dikteata hufupisha makusudi
Hasa unapoandika kitu LIVE ambacho unaandaa kwa muda mfupi huohuo unatakiwa uendelee kupost muendelezo

......
 
Hujamjibu inavyotakiwa na sio jibu zuri hili ulilo mjibu..
Hebu lisome then fikiria kama ni ww umejibiwa hivyo ungepata picha ipo?
Upande wangu sijapenda kabisa.

Jaribu kubadilisha mfumo wa majibu yako mkuu

...[HASHTAG]#Mondray3017[/HASHTAG]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…