Makapuku Forum

Aisee watu kama hawa ni wa kuheshimiwa sana
 
5/Antoine de Saint Exupery
Huyu alizaliwa June 1900
Alikuwa ni mwanahabari,mwandishi wa vitabu na ushauri....Moja kati ya vitabu vyake ni The Little Prince
Alitoweka July 31 1944 wakati akiendesha ndege kwenye anga la bahari ya Mediterrania(alikuwa pia ni rubani)
Mwaka 1998 mwili usiotambulika uliokuwa umevaa vazi lenye utambulisho wa Ufaransa ulipatikana
Pia mwaka 2000 lilipatikana bracelet
.......

 
Yaan shida tupuuuuu....

Ila tutafikaa japo na wew ilinichukua mda kukuzoeaa make moto wako ulikuwa sio wa kitoto
Yeah! Ni lazima nikiri. Mkeo ana mvuto wa aina yake. Ndo maana ni celebrity hapa JF. Nilikuwa tayari kuuza mashamba yangu ya nyanya kabisa kisa tu nimeona avatar ya mwanamke mweupe amekaa kitini. Wajua tena sisi wanakolomije na wanawake weupe. Wivu wako uliopitiliza kimo uliniokoa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…