Makapuku Forum

Madenge, wewe umeanza kupata notifications? Mimi bado aisee. Nime-uninstall app na ku-install upya tatizo liko pale pale. Inanikera kwa sababu bila notifications kidogo ni vigumu kufuatilia mada. Ajabu hata sehemu ya complaints siioni kwenye app yao. Msaada please!
 

Na bado watu wanaendelea kuvuta tu!
Ndio maisha
Wao wanaita "kula maisha"
.....
 
Tangu jana jioni kwangu zinaingia fresh tu mara nyingine kwa kusuasua
Ila mimi nimepush notification
Nimeacha kwenye PM na tagged/mentioned me pekee
Maana Quote & Like simple tu kuziona kwenye uzi husika
Hivyo ni usumbufu
.
.
Kaangalie vizuri setting km hakuna tatizo labda instail upya
......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…