Makapuku Forum

Aisee
 
RIP Kennedy
 
2016 - Taarifa mbalimbali zisizo rasmi zinadokeza kuwa Bibie Hillary Clinton huenda akatangazwa kama Mgombea wa Urais kwa tiketi ya Democrats na kuwa mwanamke wa kwanza kufanya hivyo katika miaka 240 ya historia ya Marekani.

Na ilikuwa nafasi ya kuandika historia ya kuwa Rais wa kwanza mwanamke lakini akashinda
Itatuchukua pengine miaka mwingi au usitokee kizazi chetu kushuhudia Rais mwanamke huko USA
....
 
1969 - Fernando Redondo anazaliwa.

Kiungo fundi wa Kiargentina ambaye pia aliwahi kutamba na Real Madrid na Inter Milan.

Anakumbukwa kwa kumpiga tobo beki wa Man Utd Hening Berg kwa kisigino katika pambano la Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Siku ile km sijakosea Ronaldo de Lima alipiga hat trick pale old Trafford kiasi hadi mashabiki wa Utd wakasimama na kumpigia makofi
ilikuwa ni mechi ya robo fainali km sijakosea....game la kwanza lilisha kwa sare kule Bernabeu
Madrid alisonga mbele mwisho wa siku nae nafikiri akatolewa
Kipindi hicho Madrid alikuwa moto huku Barca akiwa timu ya kawaida tu kwenye UCL
Ila Redondo keshawahi kubeba UCL wakati Ronaldo nasikia hajawahi
....
 
Uko vizuri mzee ila kwa sasa barcelona ni balaa
Siku hazigandi
 
Haikuwa gemu hii, game Ronaldo aliyopiga hat trick ilikuwa ni 2003
 
Ramadhani Chombo hujiita Redondo akijifananisha na mchawi huyu wa soka kutoka Argentina.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…