Makapuku Forum

jamani mm ninataka kuoa wake wanne kwa wakati mmoja .munaonaje huu ujanja maana ukioa mmoja halafu zikapita miaka ukitaka kuongeza atasema unamuonea.lkn nimewazaaa nikaona ili kuondoa haya maneno naoa wooote wanne kwa siku moja hapo imekaaje .nipeni ushauri zaidi.mmoja asubuhi.mmoja mchana.mmoja jioni saa kuminna mbili na mwengine wa nne usiku saa mbili
 
Lol! kwani ukipewa zawadi ya viatu unalazimisha ununuliwe na sokisi?


Bora bossy awahi kurudii akusanye simu ili tufanye kaziii

Ila weee kinoma ofisi kote wanakuzungumziaa eti yule bossy mpya kila jion tukitoka mnatoka wote na huwa unanikwepa ...bora tungeliletewaa wa kiume ...ila ongeraaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…