Makapuku Forum

Bhinamu hivi mama maflower kwa nini anakutolea njee ...ulikosea wapiii
 
Nakumbuka vizuri ...huyu aunt yako usimwaminii mda mwingine zinakuwa sio akili zake make ile juzi narud nyumban nakuta chumba kizima kimejaa empty heanken ...na kichupa fulani kimeandikwa jina la zanzii sijuii zenjii ata sielew

...kiukweli niliunga mawazo twende ila huyu mwenye mpododo ulivomuonaa tu akili ikapaaa...hatuna namna inabidi tuongee na wazee wa kanisa
 
binamu ungemalizia na ma flowers uone je utajibiwa kwa flowers au kwa ngumi
 
binamu we niangalie tu unafkili habari za cheusi mangala nazipenda me acha niwe kote kote tu kwa style hiyo ungetulia upande wangu na me ningekua na wewe tu
 
Nitajulia wapi mimi mpwao sasa, wewe ndo ungekuwa wa kuniongoza lakini ndo full kuniharibia. Itabidi tukae tujadili hili suala ni wapi nilikosea
Tutaongeaa vizur hawez kutushindaa ...

Alafu anko ...eti anko ...bhinamu kuna namba mpya imenipigia jana sauti amaizing fulaniiii ...vipi yule niliyekuonesha ulifanikiwa kumpa contacts zangu ??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…