Makapuku Forum

5/Four Eyed Fish
Hawa ni aina ya samaki wanapatikana Mexico,Amerika ya kati na baadhi ya maeneo ya Amerika Kaskazini
Wana nacho mawili tu tofauti na jina lao
Ila kila jicho limekawanyika sehemu mbili ambazo zote zina pupil zinazojitegemea
......
 
4/Stalk Eyed Fly
Sijui kwa kamusi ya TUKI anaitwaje....Mimi ninachofahamu tu ni bua
Wanapatikana kwa wingi huko Asia Kusini Mashabiki na kidogo Afrika na mara chache Ulaya
Macho yao yameshikiliwa pembeni na mabua
Madume ndo wanakuwa na mabua marefu zaidi ya wmajike
Inaaminika majike huvutiwa na madume yenye mabua marefu zaidi
.......
 
Ogre Faced Spider
Hawa ni buibui
Wanajulikana zaidi kutokana na kuwa na macho mengi ...wengine wana mawili,manner,sita na hata name
Pia macho yao ni maarufu kutokana na kuwa na mng'o(mwangaza) wenye kuvutia
.... .
 
1/Mantis Shrimp
Kwa kiswahili anaitwa uduvi
Ni uduvi wa kundi la Stomatopodia
Wana kucha kali zenye uwezo wa kuvunja glasi au kukigawanja kidole cha binadamu sehemu mbili
Macho yao ni ya kuvutia
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Rukutane kesho
Mwisho
.......
 
Muziki Huchangamsha

Ni Jumatatu kama jtatu nyingine sema tu tarehe ndo zimebadilika. Hivi ndivyo tunavyoelekea kuikata nusu ya huu mwaka. Naamini wote tuko poa kabisa bila kujali huu upoa u-hali (state) gani.

Wakati napitia post za nyuma humu, nikavutiwa na post moja ambayo mchangiaji anauliza leo kumepoa humu, well, leo ni jumatatu na jumatau ikianza kwa kuchangamka jua weekend yako hukuitumia ipasavyo, its blue Monday and not blue Mondray for GS.

Kutokana na hali hii ya leo basi nikaona sio mbaya sana katika kipengele cha muziki leo basi tuburudike na Sebene kidogo, na bila hiyana nakuletea sebene la Twanga Pepeta chini ya 'le jenerali' Banza Stone (RIP) na gitaa la mtaaluma Shakashia. Andrew Shakasjhia ni mkali sana kwenye gitaa la solo na hata gwiji said Mabera wa Msondo alithibitisha hilo (hii siku nyingine tena)

Tonane baadaye kidogo wadau wema wa Makapuku


Karibu

 
Asante bhinamuu
 
Mutu na pesa zake mambo ya shoka moja mbuyu chini binamu asante sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…