Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,250 Jun 5, 2017 #203,321 1975 - Mfereji wa Suez wafunguliwa baada ya kumalizika kwa vita ya siku sita.
ipogolo JF-Expert Member Joined Aug 15, 2011 Posts 6,280 Reaction score 5,987 Jun 5, 2017 #203,322 makedonia said: Una uhakika? Click to expand... Makedonia. Wanajua hawa. Tuwaulize vizuri.
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,250 Jun 5, 2017 #203,323 2006 - Serbia yajitangazia Uhuru wake toka kwa Montenegro.
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,250 Jun 5, 2017 #203,324 2004 - Ronald Reagan anafariki Dunia. Alikuwa ni Rais wa 40 wa Marekani.
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,250 Jun 5, 2017 #203,325 2015 - Tariq Aziz anafariki Dunia . Alikuwa ni waziri katika serikali ya Saddam Hussein.
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,250 Jun 5, 2017 #203,326 - Leo ni siku ya Mazingira duniani.
Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 19,230 Reaction score 68,250 Jun 5, 2017 #203,327 Leo katika Historia: Niwarakie siku njema.
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Jun 5, 2017 #203,328 Shunie said: Jimena mzima mamy kiwatengu alikuulizia jana Click to expand... Mi mzima dear, huyo mzee mpotezee tu hana mpya
Shunie said: Jimena mzima mamy kiwatengu alikuulizia jana Click to expand... Mi mzima dear, huyo mzee mpotezee tu hana mpya
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,100 Jun 5, 2017 #203,329 Mussolin5 said: Leo katika Historia: Niwarakie siku njema. Click to expand... Asante kwa historia mwenyekiti We na siku njema pia na wiki yenye mafanikio Weka picha basi
Mussolin5 said: Leo katika Historia: Niwarakie siku njema. Click to expand... Asante kwa historia mwenyekiti We na siku njema pia na wiki yenye mafanikio Weka picha basi
ipogolo JF-Expert Member Joined Aug 15, 2011 Posts 6,280 Reaction score 5,987 Jun 5, 2017 #203,330 Mussolin5 said: Leo katika Historia: Niwarakie siku njema. Click to expand... Inaonekana tarehe 6 June haina mambo makubwa saana. Celebrity hawajazaliwa tarehe hii. Asante sana Mussolin5 kwa kumbukumbu.
Mussolin5 said: Leo katika Historia: Niwarakie siku njema. Click to expand... Inaonekana tarehe 6 June haina mambo makubwa saana. Celebrity hawajazaliwa tarehe hii. Asante sana Mussolin5 kwa kumbukumbu.
ipogolo JF-Expert Member Joined Aug 15, 2011 Posts 6,280 Reaction score 5,987 Jun 5, 2017 #203,331 My God. Touch bwana. Trh 5 sio 6.
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,610 Reaction score 64,460 Jun 5, 2017 #203,332 ipogolo said: Sio wa kuzaa. Binti kigoli wa mtaani asiye na mume. Click to expand... Heri kuzaa na mke wa mtu,
ipogolo said: Sio wa kuzaa. Binti kigoli wa mtaani asiye na mume. Click to expand... Heri kuzaa na mke wa mtu,
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,610 Reaction score 64,460 Jun 5, 2017 #203,333 makedonia said: Una uhakika? Click to expand... Unajuwa ni kwanini DNA ikapigwa marufuku huku kwetu?
ipogolo JF-Expert Member Joined Aug 15, 2011 Posts 6,280 Reaction score 5,987 Jun 5, 2017 #203,334 Mamndenyi said: Unajuwa ni kwanini DNA ikapigwa marufuku huku kwetu? Click to expand... Enheeee!
ipogolo JF-Expert Member Joined Aug 15, 2011 Posts 6,280 Reaction score 5,987 Jun 5, 2017 #203,335 Mamndenyi said: Heri kuzaa na mke wa mtu, Click to expand... Mwenye mke akijua je? Au sio rahisi kujua? Tiririka Mamndenyi!
Mamndenyi said: Heri kuzaa na mke wa mtu, Click to expand... Mwenye mke akijua je? Au sio rahisi kujua? Tiririka Mamndenyi!
Lee JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 44,001 Reaction score 150,526 Jun 5, 2017 #203,336 Shunie said: mshenga ana umuhimu sana kwangu na binamu nae ana umuhimu wake kwangu nahisi nipo kote kote Click to expand...
Shunie said: mshenga ana umuhimu sana kwangu na binamu nae ana umuhimu wake kwangu nahisi nipo kote kote Click to expand...
Lee JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 44,001 Reaction score 150,526 Jun 5, 2017 #203,337 ipogolo said: Makapuku habari za jumatatu? Nimeingia dar. Barabara yangu ya Kinyerezi kutokea Barakuda imeharibika sana. Sijui ni mvua zilizonyesha au ni udhaifu wa kandarasi. Click to expand... Poleee
ipogolo said: Makapuku habari za jumatatu? Nimeingia dar. Barabara yangu ya Kinyerezi kutokea Barakuda imeharibika sana. Sijui ni mvua zilizonyesha au ni udhaifu wa kandarasi. Click to expand... Poleee
Lee JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 44,001 Reaction score 150,526 Jun 5, 2017 #203,338 Mamndenyi said: Nani alisema kitanda kinazaa haramu? Click to expand... Ata siku moja hakiwezi
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Jun 5, 2017 #203,339 Mussolin5 said: Shukrani kwa magazeti! Click to expand... Pamoja sana mkuu
Lee JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 44,001 Reaction score 150,526 Jun 5, 2017 #203,340 Mussolin5 said: - Leo ni siku ya Mazingira duniani. Click to expand... Tuyatunzeee yatutunzee